Uchaguzi 2020 Nani ana jukumu la kulinda bendera na picha za Wagombea zisiharibiwe kipindi cha kampeni?

Uchaguzi 2020 Nani ana jukumu la kulinda bendera na picha za Wagombea zisiharibiwe kipindi cha kampeni?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi- ni nani mwenye dhamana ya kulinda picha za wagombea na bendera za vyama vya siasa zisiharibiwe?

Je, ipo sheria inayotamka kua kuharibu picha au bendera ni kosa?

Au kila mwananchi ana Uhuru wakuondoa picha ya Mgombea na bendera asiyoitaka?
 
Back
Top Bottom