nani ana madhara? makubwa.

frank wakug

Member
Joined
May 26, 2012
Posts
6
Reaction score
0
Mwanamke na mwanaume yupi aki cheat kwenye ndoa ina madhara makubwa ktk familia.
 
leo hapa ubinafsi na umelo wa wanaume ndipo unatakapoonekana.....


Wote wakicheat kwenye ndoa ina madhara....... Hakuna cha kichwa wala mkia wa familia hapa...kama mwanaume una hisia ujue na mwanamke ana hisia, wote msitendeane yale yatakzyomuumiza mwenzio...
 
Hapo haijalishi anayecheat ni me au ke, wote huleta madhara makubwa katika familia.
 
Bora acheat mwanamke, manake wanawake huwa tunajua kubehave, isitoshe familia haitutegemei sana,lol
Haya jiteteeni sasa wababa
 
unamaanisha nani ukimwi wake unaua zaidi au?

Nguruwe na ngiri wote haramu.
 
sijui kwanini bado watu tunaimani mbaya sana eti kunya anye ng'ombe mavi yake samadi, akinya nguruwe haramu lol! ingekuwa ukimwi unchagua tungesema sawa but as long as wote wawili wanaweza kuambukizwa basi ni hatari.

on the other hand, mwanaume anachance ndogo ya kupata maambukizi anapokutana na mwenye ukimwi for mara ya kwanza kama ata play safely ukilinganisha na mwanamke ambaye maumbile yetu yana tusubject kwenye risk kubwa ya maambukizi.
 
Reactions: BAK
Bora acheat mwanamke, manake wanawake huwa tunajua kubehave, isitoshe familia haitutegemei sana,lol
Haya jiteteeni sasa wababa

Kingine, mke akicheat more often anaongeza income kwenye household lkn kwa mume almost all the time anapunguza kipato cha kaya!
 
Kingine, mke akicheat more often anaongeza income kwenye household lkn kwa mume almost all the time anapunguza kipato cha kaya!

At least wanawake wanakubali jukumu la kulea ni la mume!
 
Kucheat ni kucheat tuu!!!!! iwe kwa mwanamke au kwa mwanamme ni sawa, ila inauma sana kama aliyekucheat ni unampenda sana na kila kitu unampatia. Kuanzia pesa ya matumizi hadi mambo hadimu ya kitandani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…