The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
simba ni ya dar es salaam...
Na yanga ni ya tanzania...
Nadhani kazi hiyo wape Synovate!
Kwa kawaida wanachama hujiandikisha na hivyo kuwa kwenye rekodi cha timu. Ni vigumu kupata takwimu sahihi za shabiki wa timu maana ni mambo yaliyojificha rohoni mwa mtu. Niliwahi kukaa karibu na mashabiki wa simba siku ya fainali ya mechi ya Stela mwaka 1993. Kwa kuogopa uwezekano mkubwa wa kupata mkong'oto ilibidi niigize nina huzuni kwa kukaa kimya (japo moyoni haikuwa hivyo)wakati Simba ikicharazwa kwa Goli za Boli ZOZO. Ungeniangali ungefikiri na mimi ni shabiki wa simba wakati sio. Nakushauri uwasiliana na Shehe Yahaya pengine anaweza akakutabiria.
obviously YANGA ndio club pekee tanzania yenye mashabiki wengi zaidi, mfano mdogo 2, juz yanga imechukua ubingwa wa tz bara, mpaka ikatangazwa bungeni nadhani ulishuhudia wabunge walivyo shangilia. Jibu unalo mpaka hapo.
REDET watakuwa na majibu muafaka kwa hili
Timu gani inawashabiki wengi zaidi....Dar es salaam young africans!....African association ilikuwa na tawi la michezo linaloitwa African sports(zanzibar/tanga),toto africans(mwanza),African temeke(mwembe yanga) and so forth....yanga ipo tanzania nzima!
yanga!!!Timu gani inawashabiki wengi zaidi....
Soma kwa makini na tafakari! Hujaulizwa timu yenye mashibiki wengi bungeni!