Ooya shwalii kwa mtazamo wangu nafikiri ni Dar young africa kwani sehemu nyingi nilizopita, ukanda wa ziwa, juu kusini kuna wakijani lukuki ukimake comparison na wekundi, dat iz
Nimecheka hii lafudhi. Umewapatia kweli. Mnigeria na yeye alikwambiaje? Well Simba ni wengi!KUNA M Ghana alinifata akaniambia My Blada Ayu fromu Tansaniaaaaaaa ah? nikamwambia Yes Oh my God My Blada Do u Know Simba Sports Club nikamwambia yes That team is the Best.
Mkuu umenena vema hata mm ni mwanachama wa simba but watani wana mashabiki wengi kuliko simba,ila kuna angalizo moja,yanga wana mashabiki na wapenzi wengi kuliko simba but simba ina wanachama wengi kuliko yanga unajua kwann,yanga pamoja na kupendwa ila ununuaji wa kadi za uanachama upo mdogo na hata kama utakuwepo ulipiaji ni tatizo kama utakumbuka manji aliwahi walipia wanachama cos ya ulalahoi wao,simba wanachama ni wengi na wanauwezo wa kulipia kadi zao,all ina all kwa uwingi wa mashabiki na wapenzi yanga wapo juu kuliko mnyamaMimi ni shabiki wa Simba kwa zaidi ya miaka 35 sasa. Lakini nakubaliana na wale wanaosema Yanga iko na mashabiki wengi. Mashabiki wake wengi ni walalahoi na ni wabishi sana!
nop ni kwa mtazamo wangu na sasa we ndo uliyeanza kuingiza suala zima la unazi hapo.Tehtehteh Ndugu yangu naona unafananisha Vibanda vya CCM na Yanga sasa tehtehteh uwe ukipita unashuka labda macho mabovu nakutizama tofauti.... na Safarihii (Y)Wanga wote wataliwa na Simba.
Yanga wapo wengi zaid ya simba.
Yanga timu wananchi
simba timu ya wafanya biashara wa kkoo,(wahindi na waarabu)
KUNA M Ghana alinifata akaniambia My Blada Ayu fromu Tansaniaaaaaaa ah? nikamwambia Yes Oh my God My Blada Do u Know Simba Sports Club nikamwambia yes That team is the Best.
simba ndo ina mashabiki wengi.
Mkuu umenena vema hata mm ni mwanachama wa simba but watani wana mashabiki wengi kuliko simba,ila kuna angalizo moja,yanga wana mashabiki na wapenzi wengi kuliko simba but simba ina wanachama wengi kuliko yanga unajua kwann,yanga pamoja na kupendwa ila ununuaji wa kadi za uanachama upo mdogo na hata kama utakuwepo ulipiaji ni tatizo kama utakumbuka manji aliwahi walipia wanachama cos ya ulalahoi wao,simba wanachama ni wengi na wanauwezo wa kulipia kadi zao,all ina all kwa uwingi wa mashabiki na wapenzi yanga wapo juu kuliko mnyama