Case study: Mo Salah, Liverpool vs Egypt national team.Leo imefanyijka press kuelekea mechi ya Yanga vs Mamelod wikiendi ijayo, lakini kitu ambacho kimenipa ukakasi ni taarifa juu ya hali ya majeruhi hasa kwa Pacome.
Ally Kamwe anasema kuhusu
Pacome tunasubiri majibu zaidi ya kambi ya timu yake ya taifa"
Hivi mchezaji ni mali klabu au taifa lake? Sio Yanga ndio waliopaswa kutoa majibu ya viipimo kujua kama ni ruksa kwenda kuchezea timu ya taifa au auguzwe. Timu za taifa haziiti majeruhi wala wakuangaliwa bali ni wanaitwa wachezaji waliofit tu ili wakacheze mechi. Sasa kwanini apelekwe mchezaji asiyeeleweka afya yake?
Kama ni swala la mind game basi limekosa muendelezo kwasababu ni bora angeendelea kudanganya kwa kumbakisha Tanzania ila kitendo cha kwenda kujiunga na timu ya taifa tayari Mamelod kimeshawapa jibu kuwa yupo fit.Mind game ya kitoto sana hiyo,timu ya taifa haiiti mchezaji majeruhi kuchukua nafasi ya mwingine aliye majeruhi,wanafikiri Mamelod ni wavivu wa kufikiri kama wao
Ukisema hao akina Baca wamecheza chini ya kiwango utakuwa huwatendei haki Azam kwa ubora walionao,huyo Pacome aliumia but sio kama ilivyokuzwa,Yao Yao aliumia kidogo msuli tena hakuguswa na mchezaji yeyote,ni mind game ya kitoto sanaKama ni swala la mind game basi limekosa muendelezo kwasababu ni bora angeendelea kudanganya kwa kumbakisha Tanzania ila kitendo cha kwenda kujiunga na timu ya taifa tayari Mamelod kimeshawapa jibu kuwa yupo fit.
Kwa jinsi alivyokuwa amebebwa kila mtu alijua nje wiki kadhaa au miezi kadhaa inamaana ilikuwa ni mipango tu ile ya kuigiza. Sijajua lengo ni kuwazubaisha Mamelod wajue ni majeruhi au lengo ni kutaka Mamelod wasijue mpira wao upoje. Mudathir chini ya kiwango, Azizi ki chini ya kiwango, Bacca, kachomesha ila Diarra kaokoa, Kibabage chini ya kiwango, Yao na Pacome mapema kabisa nje.
Sijui kwanini mbumbumbu hua hamna akili juzi tu Haller aliitwa timu ya taifa akiwa majeruhi, Vicente Aboubakar same case hivi kwanini hua hamsumbui akili zenu?Mind game ya kitoto sana hiyo,timu ya taifa haiiti mchezaji majeruhi kuchukua nafasi ya mwingine aliye majeruhi,wanafikiri Mamelod ni wavivu wa kufikiri kama wao
Nani kakwambia anaumwa wewe koloPacome haumwi vyura wana mind games za kizamani sana.
Hii mechi kama ingepigwa kabla ya kuelekea kwenye mechi za kimataifa au baada ya mechi za kimataifa, Azam ungewakataa hawa.
Ukisema hao akina Baca wamecheza chini ya kiwango utakuwa huwatendei haki Azam kwa ubora walionao,huyo Pacome aliumia but sio kama ilivyokuzwa,Yao Yao aliumia kidogo msuli tena hakuguswa na mchezaji yeyote,ni mind game ya kitoto sana
Hivi nyie mbumbumbu Inonga hakuitwa timu ya taifa akiwa majeruhi mbona akili zenu ni fyatu
Ukisema hao akina Baca wamecheza chini ya kiwango utakuwa huwatendei haki Azam kwa ubora walionao,huyo Pacome aliumia but sio kama ilivyokuzwa,Yao Yao aliumia kidogo msuli tena hakuguswa na mchezaji yeyote,ni mind game ya kitoto sana