MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Franklin Boukaka nilianzaga kumfuatulia huyu Mkongo hasa baada ya wimbo wake mmoja kuwa unapigwa pigwa sana Sauti ya Ujerumani. Nikaanza kumfuatilia nikaja kugundua mbali ya kuwa mwanamziki alikuwa pia mwana harakati na huu uanaharakati wake ndio ulimgharimu Maisha na kujikuta anakufa kifo kibaya sana.
Kuna kibao chake kimoja cha African liberte, huwa nakisikiliza kila wiki hasa baada ya kupata tafasili yake.
Kuna kibao chake kimoja cha African liberte, huwa nakisikiliza kila wiki hasa baada ya kupata tafasili yake.