Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wadau, kama kuna yeyote anaweza kuniambia wapi naweza kupata eneo mto ruvu mkoa wa pwani kwa ajili ya umwagiliaji anijuze. Nahitaji angalau ekari 1 au 2. Eneo ambalo liko karibu na mto, ekari 1 sh ngap?
Wadau, kama kuna yeyote anaweza kuniambia wapi naweza kupata eneo mto ruvu mkoa wa pwani kwa ajili ya umwagiliaji anijuze. Nahitaji angalau ekari 1 au 2. Eneo ambalo liko karibu na mto, ekari 1 sh ngap?