Nani ana taarifa hizi?

Nkobe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
2,204
Reaction score
3,277
Wadau, kama kuna yeyote anaweza kuniambia wapi naweza kupata eneo mto ruvu mkoa wa pwani kwa ajili ya umwagiliaji anijuze. Nahitaji angalau ekari 1 au 2. Eneo ambalo liko karibu na mto, ekari 1 sh ngap?
 
wadau, kama kuna yeyote anaweza kuniambia wapi naweza kupata eneo mto ruvu mkoa wa pwani kwa ajili ya umwagiliaji anijuze. Nahitaji angalau ekari 1 au 2. Eneo ambalo liko karibu na mto, ekari 1 sh ngap?

mpigie mwenye no hizi 0717567055 lipo ruvu darajani
 
Wadau, kama kuna yeyote anaweza kuniambia wapi naweza kupata eneo mto ruvu mkoa wa pwani kwa ajili ya umwagiliaji anijuze. Nahitaji angalau ekari 1 au 2. Eneo ambalo liko karibu na mto, ekari 1 sh ngap?

Nlishatoa Uzi Huu wa Kuuza eneo langu pale RUVU MTONI if still interested contact me 0758303090

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…