Nani ana uelewa mzuri kuhusu Fixed Account?

Mzee wa fact

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
246
Reaction score
228
Nani ana uelewa mzuri kuhusu Fixed Bank Accounts, faida zake na benki gani inatoa interest nzuri.
Je ni nyakati gani unaweza kufaidika zaidi.

Funguka kwa faida ya wengi 👇🏽

#Ibua #NawezaNafanyaNashinda

Mchango wa mdau
Kwa kawaida ukienda bank za biashara na ukiwa na kiasi kizuri cha pesa ni suala mnaweza kukaa mezani mkaongea kwa maana ya kukubaliana. Ila kwa kawaida Bank nyingi zinatoa kuanzia 5% hadi 9% P.A Ila kuna ofa niliona Bank ya Posta walikua wanatoa zaidi ya 10% P.A ila shari ni uache pesa hapo for 2 years. Unaweza kuwapigia wakakupa maelezo zaidi.

Ila ningekuwa wewe ningefatilia zaidi TBonds zile za serikali sababu kuna return kubwa zaidi ya Bank yeyote na kimsingi bank zinachukua pesa kwetu na kwenda kununua Bonds za serikali. Kwa bond ya miaka 20/25 unapata return ya 15.94% P.A kwa miaka 20/25 uliyowekeza na baada ya muda huo unarudishiwa principle amount uliyowekeza. Unaweza kusoma na kuangalia zaidi kweny site ya BOT.
 
Fixed bank accounts?
 
Back
Top Bottom