Stability JF-Expert Member Joined Jan 30, 2020 Posts 306 Reaction score 706 May 15, 2024 #1 Jamaa ametoa ushuhuda very inspirational akiwa New Life. kama kama una mtu anamfahamu naomba pliz unipatie info zake.
Jamaa ametoa ushuhuda very inspirational akiwa New Life. kama kama una mtu anamfahamu naomba pliz unipatie info zake.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 May 15, 2024 #2 Mkuu kwani kafanya nini ?, akiwa new life kivip? ebu tueleze kwanza kabla ya sisi kukupa inf zake.
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 2,907 Reaction score 9,135 May 15, 2024 #3 Km umemuona Kwenye tv na jina la kanisa umeliona nendaa hapo kanisan watakusaidia kumpata Kwa wepesi mkuu . Naomba kuwasilisha..
Km umemuona Kwenye tv na jina la kanisa umeliona nendaa hapo kanisan watakusaidia kumpata Kwa wepesi mkuu . Naomba kuwasilisha..
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 24,893 Reaction score 47,768 May 15, 2024 #4 Ungeweka japo utangulizi ulichokisikia, umetuziba masikio hatujui chochote na dhumuni la kuanzisha uzi je ni ndugu yako unamtafuta, au amegusa maisha yako kwa yale aliyopitia
Ungeweka japo utangulizi ulichokisikia, umetuziba masikio hatujui chochote na dhumuni la kuanzisha uzi je ni ndugu yako unamtafuta, au amegusa maisha yako kwa yale aliyopitia
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 May 15, 2024 #5 Mbona minaona picha ya biriani tu hapo mkuu...🤔
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 May 15, 2024 #6 Mbona minaona picha ya biriani tu hapo mkuu...🤔
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 47,274 Reaction score 126,778 May 15, 2024 #7 Anaitwa nani? Weka video clip basi
M2WAWA2 JF-Expert Member Joined Aug 15, 2014 Posts 3,285 Reaction score 5,598 May 15, 2024 #8 Biashara za kanisa hizo
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,301 Reaction score 13,858 May 15, 2024 #9 M2WAWA2 said: Biashara za kanisa hizo Click to expand... Na uzi umeletwa kimkakati sana.