1.Shivji awe-Mwenyekiti 2.Tundu Lisu-Makamu Mwenyekiti 3.Mwakiyembe-Katibu 4.Jaji Warioba-Mjumbe 5.Mwenyekiti wa Tume ya haki za binadamu-Mjumbe
kwa vile tunajadili watakaokuwemo kwenye Tume ya katiba ya Tanzania(na sio Tanganyika) nnapendekeza safari hii tume iongozwe na mzanzibari na nnapendekeza:-
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Omar Makungu
Jaji Mahmoud
Jaji Mshibe
jaji Zubeir
kati ya hao mmoja awe mwenyekiti
Unakinzana kivipi? fafanua
he/s has provided a leading question by providing his comments right from the start! could at lest comment there after
There were no rules for making comments at JF
Rules available are regards to defarmation and use of abuse language to other members.
Kama tume itateuliwa na JK (badala ya Bunge), hata iongozwe na malaika sitakuwa na imani nayo
Kama tume itateuliwa na JK (badala ya Bunge), hata iongozwe na malaika sitakuwa na imani nayo
Tume hovyo hovyo itazaa Katiba hovyo hovyo na inaelekea kuwa hivyo, dawa hapa tukishaona dalili za kuchezewa rafu basi tuanzie hapo kuipinga tume itakayochaguliwa kwa maandamano yasiyoisha la sivyo ikiachwa itakula kwetu
itakuwaje ikiwa hivi....
1.Edward Hosea
2.Jonson Mnyika
3.Abdulahman Kinana
4.Makamba Yusuph
5.Zotto Kabwe
Professor Safari.
Wanajua matatizo ya watanganyika.....**** nikubalance wawepo wajumbe wasiozidi wawili Pemba 1 na unguja 1kwa vile tunajadili watakaokuwemo kwenye Tume ya katiba ya Tanzania(na sio Tanganyika) nnapendekeza safari hii tume iongozwe na mzanzibari na nnapendekeza:-
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Omar Makungu
Jaji Mahmoud
Jaji Mshibe
jaji Zubeir
kati ya hao mmoja awe mwenyekiti
sijui ni kwanini mimi siamini chochote unachokoment hapa...... ila kwa LEO NAOMBA NIKILI kuwa challenge yako ni nzuri.... nakugongea thanks kutokana na CHALLENGE zako ila sio threads ZAKOProfessor Safari.
Wanajua matatizo ya watanganyika.....**** nikubalance wawepo wajumbe wasiozidi wawili Pemba 1 na unguja 1
tunazungumzia katiba ya nchi au ya saccos yaani 1,3,4 hawa hovyo kabisa 2 sina uhakika namba 5 simjui...itakuwaje ikiwa hivi....
1.Edward Hosea
2.Jonson Mnyika
3.Abdulahman Kinana
4.Makamba Yusuph
5.Zotto Kabwe
mimi naona majina uliyopendekeza wako vizuri cha msingi nikuongeza wazanzibar 2 ili timu iwe na vichwa 6 ...Wanajua matatizo ya wazanzibar sehemu ya Tanzania, ni lazima wawepo, Katiba ya Tanzania inaathiri Zanzibar