Kikwete asitufanyie usanii wa kumteua rafiki yake au mtu wa CCM. Kinachotakia ni mtu atakayependekezwa na Raisi kuwa mwenyekiti wa tume hiyo aidhinishwe na MBUNGE. Pili wawakishi wa makundi(pressure groups or interested groups) wateuliwe na makundi husika, na majina hayo yapelekwe na makundi hayo kwa Raisi kwaajili ya kuunda tume hiyo. Raisi asipewe fursa ya kuingia kwenye makundi husika na kuteua watu anaowataka yeye(kwani anaweza kuteua watu ndumila kuwili kama akina Zitto). Kama utaratibu huu utakiukwa basi tujiandae kupata katiba fake, kitu ambacho sisi kama watanznia hatutakubali ufisadi huo wa katiba. The commission must be well represented,balanced,fair and just to the citizens of Tanzania. NB: Werema(mwanasheria mkuu wa serikali-Bara) hafai kwa namna yoyote kuwemo katika tume hiyo kwasababu ni biased already. Vinginevyo mimi na wanasheria wenzangu tutaishitaki seriki kwa kuomba order mahakamani ya kumzuia Mwanasheria mkuu wa serikali(TZ Bara)asihusike kwa namna yoyote ile katika mchakato wa kuandika katiba mpya!