Pre GE2025 Nani anafaa kuwa kampeni meneja wa Mgombea Urais wa CCM 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Siasa za hoja ufanywa na wana mikakati ambao wanaweza wasiwe wanasiasa ila wanafahamu vyema siasa.

Siasa za hoja zinahitaji sana kampeni meneja ambaye ni neutral na mwenye malengo ya Taifa kuliko mwenye maono ya chama.

Kampeni meneja mwenye maono na asiyefungamana na upande wowote anaweza kuchukua agenda za wapinzani na kuziwekea mikakati ndani ya agenda za Mgombea anayemsimamia.

Natafakari katika kipindi hiki ambacho Chawa wamekuwa wengi ni njia gani itatumika kumpata kampeni meneja sahihi wa Mgombea wa CCM?

Nazungumzia Kampeni meneja nikifahamu wazi kwamba wakati wa kampeni wanasiasa wengi usambaa majukwaani kutafuta kura za udiwani, ubunge na hivyo Mgombea wa Urais hana wanasiasa wanaoambatana nao.

Kama mtakumbuka uchaguzi uliopita tume ilipitisha baadhi ya wagombea bila kupingwa kwa lengo la kuongeza nguvu safu ya watu wasiowaza ubunge bali wanawaza kuzunguka naye.

Endapo kweli tunataka kufanya kampeni za hoja tunapaswa kuanza kuwafahamu kampeni menejas wa wagombea Urais then tupate muda wakuwajadili kama wana maono ya kitaifa au maono ya chama. Last election kampeni meneja wa Lisu was perfect compared to others,.

Soma Pia: CCM ikiweka mgombea yoyote itashinda kiti cha Urais, uchaguzi kufanyika ni kuweka ushahidi wa zoezi kwani tume ya uchaguzi na katiba vinawabeba wao

Kama tunataka wizi wa kura hakuna sababu ya kumjadili kampeni meneja coz katika mazingira ya wizi kampeni meneja ujikita zaidi kuweka mbinu za wizi kuliko kuweka maandishi ya hoja na sera zitakazouzwa kwa wananchi.
 
Lucas
 
Mimi hapa.. na wimbo wangu ni huu
IMG-20241007-WA0000.jpg
 
Kampeni manager inatakiwa awe mtu mwenye ushawishi wa hoja awe kijana
 
wana CCM wote,
katika kila tawi na kila shina la CCM kote nchini, yafaa wawe mameneja wa kampeni za mgombea urasi wa CCM, comrade Dr. Samia Suluhu Hassan, huko waliko na itapendeza sana 🐒
 
Huyo HATOGOMBEA uwe unaelewa.
 
Back
Top Bottom