Nimekuwa nikifuatilia siasa za Karagwe tokea uchaguzi wa mwaka 2015 ambapo ndugu Innocent Bashungwa alichaguliwa kuwa Mbunge wa jimbo la Karagwe.
So far siajona kitu alichofanya kwani wananchi wamezidi kulia kwa ugumu wa maisha including kilio cha wakulima kuhusu bei za masoko ya mazao yao.
Nikiwaangalia makada wengine katika chama cha Mapinduzi ambao wanamuweka roho juu Bashungwa nawaona kina Blandes Begumisa aliekuwa mbunge awamu iliyopita ambae pia alipuyanga na Karim Amri mfanyabiashara mashuhuri wa Karagwe. Kwa nafasi ya upinzani sina uhakika nan atasimama pale lakn all in all tunahitaji sura nyingine kutuwakilisha jimboni.
Kwa minajili hyo wadau wenzangu wa siasa za Karagwe mnadhani ni nan ambae anaweza kutuwakilisha vizuri bungeni awamu ijayo?
Sent from my iPhone using JamiiForums