Kupendwa raha jamani
ipo namna hapa
umaarufu harufu, watakuchunguza mpaka mnavyo lala na mkeo/mmeo hadi kula mi siutaki kabisa na sitaki mtu anitaje
Supa staa mimi tuu @all
Me miss wewe pia. Kama Erick akinililia, mwambie kesho nitarejea. Mdanganye na vibagia, mwambie pipi ntamletea. Be good sweetheart. May God protect you and Him Ka-baby!Miss you Kipipi, long time no see. Good nite too.
Me miss wewe pia. Kama Erick akinililia, mwambie kesho nitarejea. Mdanganye na vibagia, mwambie pipi ntamletea. Be good sweetheart. May God protect you and Him Ka-baby!
St. Paka Mweusi mtakatifu kuliko paka wote, hebu naomba li Nazjaz unitumie nihangaike naloUnajua bado sijakutumia Li Nazjaz