Nani anafaa kuwa Waziri Mpya wa Michezo?

Je, kama ni maamuzi kutoka juu waziri anahusikaje?
 
Wizara igawanywe sanaa na utamaduni pekee na football pekee kisha huku football achaguliwe Leodiga Tenga huku utamaduni apewe hata Mrisho Mpoto au yeyote anayejua masuala hayo kama Mimi hapa
 
Atabaki huyu huyu.

Labda kama kuna kosa lingine.

ILA la UTOPOLO kukimbia mechi hapana.

Acha abaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…