Wadau nimefuatilia sana mijadala na maoni yanayotolewa kuhusu waziri wa elimu aliyepo kwa sasa. Naomba twende mbali zaidi, katika wabunge waliopo ni nani anafaa kuwa Waziri wa Elimu ambaye ataweza kuondoa changamoto zilizopo wizarani. Tuweke na wasifu kwa kuzingatia wabunge waliopo ili matatizo yote ya elimu yapate tiba