Nani anafaa kuwa Waziri wa Elimu?

Cambri

Senior Member
Joined
Nov 9, 2012
Posts
160
Reaction score
37
Wadau nimefuatilia sana mijadala na maoni yanayotolewa kuhusu waziri wa elimu aliyepo kwa sasa. Naomba twende mbali zaidi, katika wabunge waliopo ni nani anafaa kuwa Waziri wa Elimu ambaye ataweza kuondoa changamoto zilizopo wizarani. Tuweke na wasifu kwa kuzingatia wabunge waliopo ili matatizo yote ya elimu yapate tiba
 
Naona aliyepo aendelee maana wote waliopendekezwa hawajawekewa vigezo. Tumpe ushirikiano Waziri wetu ameahidi atarekebisha hali hiyo
 
Personality politics as always....

When will we learn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…