Nani anafahamu chanzo cha kifo cha Charming Charles ambaye ni Tiktoker

Nani anafahamu chanzo cha kifo cha Charming Charles ambaye ni Tiktoker

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Huyu bwana mdogo ambae ni marehemu kwa sasa amefariki mwezi huu wa tisa. Nimejaribu kufuatilia chanzo Cha kifo ila sikupata muafaka naona tu waigizaji mchwara walikuwa wakimficha mama yake kifo cha kijana wake.

Familia ya mama yake ilikuwa ikiishi buza. Na mpaka mauti yanampata jamaa alikuwa akiishi maeneo ya Airport

Wanasema jamaa kama alijitabiria kifo chake

Kwa mujibu wa maelezo pia ni kuwa hiyo siku jamaa anafariki mchana wake aliongea na mama yake pia

Ila usiku ndio alifariki hospital ya Amana.

Je, Kuna mdau yeyote ambae anajua kilichokea kwa huyu bwana mdogo ambae na yeye alikuwa na ndogo nyingi sana mbele . Moja wapo ni ya kumtoa mama yake katika maisha duni.!

Link hiyo hapo

View: https://youtu.be/b5FBrgQ-93g?si=cZbn59HpwYDUsv45
 
Wana darisalama huwa mnadhani watu wenu wanajulikana na Kila mtu Tanzania.

Hebu elezea umuhimu wa watu kujua alikufaje au unahisi Kuna uhalifu unahusika na kifo chake?
 
Back
Top Bottom