Nani anafahamu kuhusu hili

Nani anafahamu kuhusu hili

sweet poison

Senior Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
104
Reaction score
15
Ndugu zangu Watanzania habari za mida hii, naomba nikusumbueni kwa anayefahamu ada ya mtihani kidato cha nne mwaka huu anijuze tafadhali.
 
52000 inategemea na wilaya uliyotoka kwa ajili ya kupost fwedha
 
Back
Top Bottom