Nani anafahamu ofisi ya Surveyors wa Tanesco nataka kuweka umeme

DaPilly

Senior Member
Joined
Mar 2, 2012
Posts
181
Reaction score
68
Habari wana jamii, nimejaza form za kuweka umeme kwenye site yangu iliyoko salasala ninahitajika nizipeleke mbezi kwa surveyors wa Tanesco I hope!!!!! Kwa naejua wako wapi anijuze please!!!!!
 
Habari wana jamii, nimejaza form za kuweka umeme kwenye site yangu iliyoko salasala ninahitajika nizipeleke mbezi kwa surveyors wa Tanesco I hope!!!!! Kwa naejua wako wapi anijuze please!!!!!

Kwa maeneo uliyopo unaweza kuhudumiwa na ofisi za Tanesco zilizopo Mbezi Beach tangi bovu, ofisi zipo jengo ilipo kuwa Supermarket ya Imalaseko pale (sina hakika kama bado ipo).
 
Kwa maeneo uliyopo unaweza kuhudumiwa na ofisi za Tanesco zilizopo Mbezi Beach tangi bovu, ofisi zipo jengo ilipo kuwa Supermarket ya Imalaseko pale (sina hakika kama bado ipo).
Ngonepi asante sana kwa taarifa, sijafungua jamii siku nyingi nilisafiri
 
Kiongozi, tumia umeme wa jua... Epuka disappointments za Tanesco
 
kiongozi, tumia umeme wa jua... Epuka disappointments za tanesco
kama unataka kuingiza umeme kwa haraka mtafute jamaa ...anauzoefu aliwahi kunisaidia nilikuaga napigwa karenda lakini jamaa akafanya fasta tu 0755681602
 
habari wana jamii, nimejaza form za kuweka umeme kwenye site yangu iliyoko salasala ninahitajika nizipeleke mbezi kwa surveyors wa tanesco i hope!!!!! Kwa naejua wako wapi anijuze please!!!!!
mtafte huyu jamaa aliwahi kunisaidia fasta....0755681602
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…