Nani anafahamu wapi naweza pata Cassette Tape za kwaya za zamani?

Tech Africa

Member
Joined
Feb 25, 2021
Posts
5
Reaction score
14
Habari wanajamii, natafuta Cassette tape au Kanda za kwaya za zamani kama:

1. Tumaini Shangilieni kwaya - Arusha
2. Barabara ya 13 - Uliyankulu
3. Mtoni Evangelical choir - Lulu
4. Kwaya ya Patandi
5. Vijana Mabibo Lutheran - Mzabibu

Nitashukuru sana kwa yeyote atakayeweza kunifanikisha kupata hiz tape na zingine za zamani.
 
Unahitaji zikiwa katika version gani?
VHS,CD au kanda za radio
 
Ninazo kibao, sina hata pa kuzipeleka, kwenye radio yangu nowadays haziimbi, sijui ni radio mbovu au cassette zimekuwa nzito....ila ninazo kanda nyingi zimejaa kabati
 
Nenda MAANDIKO Arusha, ni mtaa wa Chagga, eneo la stand ndogi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…