Nani anafaidi utajiri huu wa Tanzania?

Tanzania is amongst the most blessed countries in the world.
Mkuu DEU87 , kwanza asante sana kwa mada hii, naunga mkono hoja, Tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana tuu, ila...
Karibu mitaa hii, hili tumelijadili sana humu Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas, Ze Comedy na One Man Shows! na hapa Je, maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu au vitu? Wachumi tusaidieni, uchumi wa Awamu ya 5, unalisaidia Taifa au utaliangamiza?
Pia niliwahi kuuliza maswali haya humu Watanzania ni ignorants au tumelogwa? October 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu? na swali hili Watanzania ni ignorants au tumelogwa? October 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu? na hili Elections 2015 - Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance?
Tunahitaji mjadala wa kitaifa, nchi yetu nimebarikiwa sana, tuna almost kila kitu!, tunakwama wapi?.
p
 
Low IQ za baadhi ya viongozi, lakini pia tuangalie kweli nchi ni tajiri lakini Tanzania hii ndio ile ya miaka ya 60?, na je haya maendeleo yaliyopo ambayo ndio humsaidia au kumwezesha mtanzania kuishi yasingekuwepo ingekuwaje?, Nchi lazima ijengwe, miundombinu lazima ijengwe, madaraja na vyote ni lazima viende sambamba na ongezeko la watu, 1960-9mil.,2023-60ml.
Hatuna proper plan, kama taifa, lazima uwepo mjadala juu ya hili, ni muhimu mno,.
 
Umasikin wa tz haipo kwenye rasilimali bali umasikini upo kwenye mawazo yetu tuna baadhi ya viongozi wanawaza matumbo yao tu ..... yapo mengi sana yakusema .... sema maneno yetu ni kama machozi ndani ya maji
 
Sidhani Kama Kuna Mtanzania Anaishi Chini Ya Dola Moja ni Wachache sana Tena Below Average.Afadhali Wangesema Dola Moja Lakini Chini ya dola Moja
Wazungu wazushi sana Wanapenda Kutudowngrade.
Hata hivo Mtanzania Anaweza Kula chini Ya Dola moja kwa Siku Kesho Mungu akabless akafidishia Akala dola Kumi kwa Siku.
 
Kuna baadhi ya nchi imebarikiwa kitu kimoja tu katika hivyo na nch inaendeshwa na kitu hicho hicho kimoja sisi tumekwama sana

Viongozi tu sio wazalendo hawana uaminifu dawa ni kiongozi mzuri tu basi na hakuna kingine kuhusu hiyo mikataba waliyoingia watu yote inaweza kuvunjika na tukaanza upya na mambo yakawa mswano
 
Tanzania ni masikini kwa sababu ya UBINAFSI wa viongozi wetu wa ngazi za juu serikalini ambao wameamua kuwa akina MANGUNGO part 2.
Wala si viongozi tu, ukweli ni kuwa watanzania wote ni WABINAFSI NA TUNA UPENDO WA UNAFKI na mbaya zaidi ni watu wa kusubiriana mwenzako akipata tatizo tumseme, tumcheke ila si kumnyanyua!
 
ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi!!
 
.
 
CCM inawenyewe ndo wanufaika pamoja na wabeberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…