Nani anafanana na haka katotoo humu chit chat

hivi huyo demis ni nani humu ?
mbona mnampa kiki kihivyo
Ni shemeji yangu mimi, halafu punguza wivu tutakuvisha dera.. Ya pm yaache huko huko usije kuyaleta hapa maana naona unakoelekea sio kuzuri. Keshakumwaga tulia tongoza mwingine.
 
Ahahahah watu mna maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…