hii biashara inafanyikaje mkuu?unataka soƙo kwaajiri ya kuuza au knunua!?
biashara ya mitumba inalipA lakini inakaribia kufutwa.
unataka soƙo kwaajiri ya kuuza au knunua!?
biashara ya mitumba inalipA lakini inakaribia kufutwa.
hii biashara inafanyikaje mkuu?
Ndiyo pale ubungo external?Kama unataka kujua hii ishu vizur nenda pale epz wanafanya hizo mambo pale , kuna mpaka majarida yao
Jesus loves u