NANI HAJAWAHI KUUIMBA WIMBO HUU?
Kiongozi: Chama chetu cha mapinduzi cha jenga nchi!
Waitikiaji: chama chetu cha mapinduzi chajenga nchi*2
Oho Chaaam - Ahaaaa
Ohoo Chaama- Chajenga nchiiii
Ninakumbuka wakati huo nyimbo zote shuleni wakati wa mchakamchaka zilikuwa za kusifu serikali,ccm pamoja na Jk Nyerere, ilikuwa ole wako uvibeze lakini ilikuwa ni kutokana na kutokuwa na uhuru wa kifikla kwa WaTanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.