Nani anaikumbuka ya Raja Casablanca?

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Kwa mara nyingine ile ya kwa mkapa hatoki mtu leo huenda inavunjwa kama alivyofanya Raja Casablanca.

Alhalyl ni timu ambayo inaleta matokeo popote pale , hardly Ahly kufungwa goli tatu kama mashabiki wa SSC wanavyodhani. Ila kumfunga Simba goli tatu ni kawaida.

SSC mpira wao ni kwenye mdomo na media, mpira wa Alahly ni investment na key players .

Mimi nipo neutral, akifungwa SSC ni sawa na akishinda ni sawa ila guts zinaniambia leo yanatokea ya Raja Casablanca pale Taifa.

Simba alikula Goli tatu mbele ya Hamza wa Raja Casablanca.

nimechati na Tau, ni rafiki yangu tangu nipo Egypt kikazi , ameniambia, Mushi, sisi leo tumekuja kucheza mpira, SSC acheze mpira na sisi tunacheza Mpira, mmbora wetu ataondoka na ushindi.

Tau akaniambia. SSC haijawahi kuwa ni timu ya kipaumbele kwetu, SSC ni below average team kuanzia investment na key players waliokuwa nao.

All the best Al Ahly na SSC
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU..
We nae hii comment unatembea nayo mfukoni muda wote huku unavizia nyuzi za michezo ikitajwa Simba na yanga tu,umeshatia timu na hii comment.

Huu ni ugonjwa wa akili.
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU..
Mkuu Kuna mambo mengine hutakiwi kuyakataza Wala kuyakomalia sana. 🤣🤣🤣
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU...

Umeongea vema

Vipi SSC atafungwa ngapi?
 
Hii comment yako inakwaza sana kila mahala unailudia ludia, shida ni nini Mkuu una Tatizo kwenye sehemu ya ubongo wako au ndo mawimbi ya akili hayashiki vizuri miezi hii ?
 
Mwenye hekima tumeshaona kitambo tu Simba anabikira vibaya Leo.
 
Situkani wala sitoi Lugha chafu wala lugha ya kuudhi.

Mwenye masikio na asikie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…