PierreLiquid
JF-Expert Member
- Oct 16, 2019
- 596
- 2,298
Mpira ni zaidi ya kukusanya tu wachezaji wazuri ukawaingiza uwanjani.Yanga hawezi fungwa tena na simba msimu huu kwa usajili huu dhimba anakufa nje ndani
Hayo ni maoni yako siwezi kukuzuia lakn subiri uone mambo yatakavyo kuwaMpira ni zaidi ya kukusanya tu wachezaji wazuri ukawaingiza uwanjani.
Kuna maandalizi na wachezaji kuelewana. Kabla hatujaongelea derby ya tarehe 18/10 Yanga ana kibarua kigumu kwa Prison na sioni anavukaje.