FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
mnahukumu upande mmoja .....amshauri huyo mshenzi wakapime DNA ka mwanamke hajala kona:yuck:
Sheria sijui inasema ni shilingi mia moja kwa mwezi kumlisha kumsomesha na hata kumzika akifa? I think so lakini niko karibu na ukweli
By 2007 kama sikosei, ukienda ustawi wa jamii fidia ilikuwa ni sh 200/= (mia mbili) kwa mwezi kwa mtoto mmoja. Nisingekushauri uende huko hata siku moja, nenda haki za binadamu na kuna wana sheria wenye moyo wanaoweza kukusaidia vizuri sanahaya ndio maelezo yake:-
Habari zenu marafiki ?
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 27 kwasasa nina mtoto mmoja wa kike ambae nilizaa na mshenzi mmoja miaka mitano iliyopita.
Huyo jamaa jina lake linaanziwa na K, alinikimbia toka kipindi cha mimba na alikuwa akiwaambia watu kuwa mimba sio yake,kwa kudra za mwenyezi Mungu nilijifungua salama na mtoto amefafana na baba yake kupita kiasi.
Toka kipindi cha mimba mpake leo hii mtoto ana miaka 5 sijawahi kuona hata senti ya huyo kaka kwa ajili ya malezi ya mtoto, huyo kaka ana kazi nzuri sana na analipwa mshahara mzuri tu kwa kweli.
Swali langu ni kwamba nikimpeleka mahakamani je ataamuriwa kunipa pesa za mtoto? Je pesa za nyuma na hizo ataambiwa anilipe? Je ni kiasi gani kwa mwaka anaweza kuamuriwa anipe. Mshahara wake kwa mwezi sio chini ya milioni 3
haya ndio maelezo yake:-
Habari zenu marafiki ?
mtoto mmoja wa kike ambae nilizaa na mshenzi mmoja miaka mitano iliyopita.
Huyo jamaa jina lake linaanziwa na K, ..... mtoto amefafana na baba yake kupita kiasi.
.... huyo kaka ana kazi nzuri sana
mnahukumu upande mmoja .....amshauri huyo mshenzi wakapime DNA ka mwanamke hajala kona:yuck:
by 2007 kama sikosei, ukienda ustawi wa jamii fidia ilikuwa ni sh 200/= (mia mbili) kwa mwezi kwa mtoto mmoja. nisingekushauri uende huko hata siku moja, nenda haki za binadamu na kuna wana sheria wenye moyo wanaoweza kukusaidia vizuri sana
Awasiliane na WLAC (Women for Legal Action) kwa namba zifuatazo 0785-066555 au 0757-726660. Hapa utapata msaada wa kisheria kupitia hizo namba.
ni haki yake kuhakikisha baba mtoto anatoa pesa ya malezi ya mtoto. haijalishi kama aliikataa mimba awali au la.
mtoto anaweza kuwa anakosa hudua muhimu kwa kuwa mama labda hana pesa ya kutosha kumhudumia.
akifungua kesi mahakama itamwita jamaa, atapimwa dna na kama mwana ni wake kweli, atalazimika kumpatia pesa za matumizi na wala haitamamuru ampe mtoto huyu mwanamme.
haki ya mtu inapiganiwa haiji tu ....................pigania haki ya mtoto wako lakini epuka kumuita baba yake mwanao mshenzi hasa kama una nia ya kumshirikisha kwenye malezi ya mtoto wenu
haya ndio maelezo yake:-
Habari zenu marafiki ?
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 27 kwasasa nina mtoto mmoja wa kike ambae nilizaa na mshenzi mmoja miaka mitano iliyopita.
Huyo jamaa jina lake linaanziwa na K, alinikimbia toka kipindi cha mimba na alikuwa akiwaambia watu kuwa mimba sio yake,kwa kudra za mwenyezi Mungu nilijifungua salama na mtoto amefafana na baba yake kupita kiasi.
Toka kipindi cha mimba mpake leo hii mtoto ana miaka 5 sijawahi kuona hata senti ya huyo kaka kwa ajili ya malezi ya mtoto, huyo kaka ana kazi nzuri sana na analipwa mshahara mzuri tu kwa kweli.
Swali langu ni kwamba nikimpeleka mahakamani je ataamuriwa kunipa pesa za mtoto? Je pesa za nyuma na hizo ataambiwa anilipe? Je ni kiasi gani kwa mwaka anaweza kuamuriwa anipe. Mshahara wake kwa mwezi sio chini ya milioni 3
...Kwa sababu katika post yake sijaona sehemu alosema ameshathibitisha kuwa mtoto ni wake!! Eti anafanana naye je hiyo inatosha kumfanya awe baba wa mtoto? Ukizingatia
- wanawake wengi wanaocheat wana tendency ya kucheat na watu wanaoresemble na waume zao meaning kama ni mweusi mwenye big eyes bus atacheat na wa kufanana naye!!.
- Je kama bibiye alifumaniwa akicheat na shemejiye yaani ndugu wa huyo mshenzi? Si mtoto atafanana na ukoo wa kina mr. Mshenzi?
...
Brigita good observation, how can you call baba wa mtoto wako Mshenzi!!?
By the way sijamuelewa wifi anachotaka, kaka si alishamkataa mtoto tangu akiwa mimba? Sasa wewe unataka kumpeleka mahakamani ili amkubali au ili akupe pesa za fidia? Na je ukishalipwa unamkabidhi kwa babake au ndo inakuwaje sasa? Mimi nafikiri ungefurahi kuwa umeachiwa zawadi ya mtoto. na wala usisikie uchungu kumlea mwanao, she is yours for God's Sake