Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Hizi jumuiya huenda zimeshakufa.Kama zingekua hai kusingekuwa na uwezekano wa watu wa Gaza kuuliwa kinyama bila ya wao kuingilia kati au angalau kutoa matamko makali ya kulaani kinachotokea.
Na kama jumuiya hizo zingekuwa ziko hai basi kilio cha Hamas na wapalestina basi kingesikika.
Vile vile jumuiya hizo zingekuwa bado ziko hai basi tungekuwa tunasikia mikutano yao ikifanyika mara kwa mara tangu kuanza kwa vita vya Gaza na sasa ambapo vita vinaingia duru nyengine ya machafuko makubwa zaidi baada kifo cha kiongozi mkuu wa Hamas ndugu Ismael Haniye.
Dunia ni kubwa na elimu ni pana yawezekana yupo mwenye taarifa zaidi kuhusiana na jumuiya hizo.