Nani anakula mkwanja mwingi kwenye show kati ya hawa jamaa?

isho_boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
2,145
Reaction score
1,892
Hivi kati ya King zamunda na mkali wa matuzo bongo Dimond, nani anakula mkwanja mwingi akiitwa kwa show?
 
Unalinganisha kidimbwi na Bahari.
 
Hivi mmeona ratiba ya Show za diamond Ni nying mno zaidi en kuhusu pesa Sina imani kama Kiba anaeza fikisha hata 2M kwa show moja akati mond kwa show moja ni zaidi ya 15M
 
Hivi mmeona ratiba ya Show za diamond Ni nying mno zaidi en kuhusu pesa Sina imani kama Kiba anaeza fikisha hata 2M kwa show moja akati mond kwa show moja ni zaidi ya 15M

Upo dunia ya wap? Huyo ni diamond wa 2013... kwa 2015 huwezi kumpa tuela huto afanye show ni zaidi ya mara 4 ya hapo, na pengine ameongeza...
 
Upo dunia ya wap? Huyo ni diamond wa 2013... kwa 2015 huwezi kumpa tuela huto afanye show ni zaidi ya mara 4 ya hapo, na pengine ameongeza...

Teh teh teh kweli Jamaa sahizi atamepanda bei itakuwa zaidi tofauti na kipindi kile
 
nimecheeeeka mbavu cna,eti unafananisha Michael Jackson na Abdul kiba.Nani tisha kwa ela kwa shoooz.
 
kiba wenzie wakina shilole mara ya mwisho tigo walimpa diamond 100milioni kwenye kiboko yao consert
 
Hiv kati ya king zamunda na mkali wa matuzo bongo dimond, nani anakula mkwanja mwingi akiitwa kwa show...????

kiba hata kwa ommy haingii.. Unapokuwa unazungumzia mziki wa bongo, kulinganisha wasanii uwe unamtoa MJ wetu Platnumz afu ndio unashindanisha maana ni kuwakatisha tamaa wengine, usidhani kama tutachokiandika hapa hawakioni, huwa wanapita sana na ku comment...

JE #UTANIPENDA?
 
Kuna uzi umo humu uliwekwa bei ya kwa ma dolaz tu

Mil 15 show ya kawaida hiyo kabisa labda awe anasaidia kitu ndio akubaki bei hiyo. kwake anaanzia juu zaidi hata kwa bongo tu

Nje ya nchi ndio msiseme anavuta ndefu

Mwezi wa Tatu na wanne mwakani show za ulaya zimeshajipanga
 
Halafu mleta uzi acha kumfananisha diamond na mambo ya kijinga aise!
 
Teh teh watu wachokozi...
Wenzenu walishagoma kujadili hizi mambo nyie mnataka waje!
 
Daaah ila diamond mtu mbaaaaya sana, anatukosesha ladha kabisa kampoteza sana kiba.

Unajuwa kwenye movie, jambazi akiwa legelege sana hatoi challenge yeyote kwa starling movie inakuwa hainogi kabisa yan.. Ngumi moja umeuwa movie imeisha ndio kilichotokea hapa...

Baba tiffah aliposema, ""na bado watanyooka tu"" watu walidhania ni njugu mawe, ila kawaonyesha hadi watu wamehands up..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…