Mkuu nimekumbuka mbali nipo sehemu ya kilaji Rombo shekilango kuna chinga akaleta chupi za mpira nikakumbuka V.I.P nikaona ngija niwakumbushe watu wangu!Sikingine!Maana mimi nilikuwa nipo primary nakumbuka nilikywa nanunua gulioni!Waganda ndio walikuwa wabaziindiza!!Tuna nunua kwa sh,200!!Usipokuwa makini na hayo maungio unaikuta kiunoni kama mkanda, nakumbuka baba yetu alituletea alipotoka zanzibar tukawa tunaziita chupi za zanzibar (tukiwa watoto) kiiza bwana hivi unawaza nini wewe? Umenukumbusha mbali.
rafiki alipiga chogo chemba tukicheza mpira vip ikakatika maungio alipoinuka akakuta imepenya kwenye bukta iko kifuani kama sidiria.nakumbua ilikatika nikiwa nacheza mpira huku nikiwa kifua wazi nilishanga imefika tumboni bahati nzuri hakukua na mashabiki
Yeah zilikuwa na size ila ikiwa mpya ilikuwa inatite kinoma!ikizeeka inakuwa kama mufuko utite wote unapotea lasitiki zinalegea na usilogwe ukakuta kiuzi kinaning'inia ukakivuta yote inafumuka!Na kumbuka 007 zilikuwa kama bukta zina mistari ya kusimama utadhani shati!!Tumetoka mbali.halafu ivi zilikuwa na size maalum,au zote zilikuwa free size ? maanaka nakumbuka mzee alituletea the same size mimi na bro wangu lkn kila mmoja ilim-fit vzr tu,duu afu kuna wadada wengine walikuwa wanazihusudu kweli
yeah zilikuwa na size ila ikiwa mpya ilikuwa inatite kinoma!ikizeeka inakuwa kama mufuko utite wote unapotea lasitiki zinalegea na usilogwe ukakuta kiuzi kinaning'inia ukakivuta yote inafumuka!na kumbuka 007 zilikuwa kama bukta zina mistari ya kusimama utadhani shati!!tumetoka mbali.
Yeah zilikuwa na size ila ikiwa mpya ilikuwa inatite kinoma!ikizeeka inakuwa kama mufuko utite wote unapotea lasitiki zinalegea na usilogwe ukakuta kiuzi kinaning'inia ukakivuta yote inafumuka!Na kumbuka 007 zilikuwa kama bukta zina mistari ya kusimama utadhani shati!!Tumetoka mbali.
Nakumbuka vyote mkuu je wewe unakumbuka mashati tunaweka lebo ya soda ya Double cola???unapiga pasi inabaki picha ya chupa za Double cola au shati za ndege,Jeans za Zico,Maradona,Michel Jackson??Raba pettyAah ha ha ha, ukivuta uzi inafumuka yote, kweli kiboko, kipindi fulani pia tulivaa chachacha, unazikumbuka, viatu vya matairi je, na zile nguo za kupika, hakuna mitumba enzi hizo mtu akitoka majuu anakuja na raba mtoni, mabaharia wakanakuja na GURUWE Peugeot 504 nyuma ina kidude cha kufungia tela ingawa sikuwahi kuona hata moja ikivuta tela, pia kuna wakati tulikula ugali wa njano do you remember kakakiiza
Je mnazikumbuka zingine zilikuwa na kibati hivi 007
Ila VIP zilikuwa noma ukicheza mpira kifua wazi matukio hayo yalikuwa mengi sana, Mmenikumbusha mbali sana 80s niko kahama shy
V.I.P zilikuwa noma vipi hizi nazo kuna mtu ameishawahi kuvaa