Nani anakumbuka Tanzania hii na mgawanyo wake?

Nani anakumbuka Tanzania hii na mgawanyo wake?

Ihoyelo

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2016
Posts
288
Reaction score
149
Arusha -Arusha
-Babati
-Monduli
-Kiteto
-Mbulu
Dodoma-Dodoma
-Mpwapwa
-Kondoa
Kilimanjaro- Moshi
-Same
-Rombo
Tanga. -Tanga
-Korogwe
-Lushoto
-Pangani
-Handeni
Mara. -Musoma
-Tarime
-Serengeti
Mwanza. -Mwanza
-Ukerewe
-Geita
.. -Kwimba
-Magu
Shiyanga. -Shinyanga
-Kahama
-Maswa
Singida. -Singida
-Manyoni
-Iramba
Morogoro. -Morogoro
-Ifakara
-Mahenge
-Ulanga
Pwani. -Dar -Es-Salaam
-Bagamoyo
-Rufiji
-Kisarawe
Mtwara. -Mtwara
-Lindi
-Nachingwea
-Masasi
Ruvuma. -Songea
-Mbinga
-Tunduru
Mbeya. -Mbeya
-Rungwe
-Mbozi
Ziwa Magharibi
-Bukoba
-Ngara
-Karagwe
Kigoma. -Kasulu
-Kibondo
-Kigoma
Tabora. -Tabora
-Nzega
-Urambo
-Mpanda
Iringa. -Iringa
-Mufindi
-Njombe
-Makete
Zanzibar. - Unguja Kaskazini
-Unguja Kusini
-Unguja Magharibi
Pemba. -Wete
-Chakechake
Kinachonikumbusha enzi hizo tuliishi kwa raha sana aridhi ndiyo hii tuliyo nayo walikuwapo wafugaji walikuwapo wakulima walikuwapo hifadhi zilikuwa zinaeleweka wala huwezi kusikia mgogoro wa wafugaji na wakulima kutokana na tamaa huu mfumo wa mapori tengefu ndiyo umeongeza vurugu na kupunguza aridhi kwa matumizi ya wananchi nadhani turudi nyuma makatibu tarafa wako wapi au cheo hicho kilifutwa maana alikuwa ni kiunganishi kati ya wananchi na serikali
 
Wakati huo population ilikuwa kama million 15 wanaojitambua, hivi leo unaongelea midomo 60m mingi isiyojitambua.
 
Kinachonikumbisha enzi hizo tuliishi kwa raha sana aridhi ndiyo hii tuliyo nayo walikuwapo na wafugajiwafugajiapo lakini huwezi khuwezirkutakvuruguo nahisi anahisiiaridhi ilianzaakupunguaabaadazishkuanzishwaamfumori tmapori tengefumhebuawezekana turudi tturudioka wakati wwakatibu TKatibukTarafa kuwau yanguvulimamamlaka

Sijui ni njaa maana nimeshindwa kuelewa ulichoandika!
 
Napenda nisahihishe kusudio la kuandika ni kwamba enzi hizo tuliishi kwa raha kama aridhi ndiyo hii tuliyo nayo wafugaji walikuwapo na wakulima walikuwapo nadhani tungejaribu turudi nyuma Makatibu Tarafa enzi hizo walifanya kazi nzuri sana lakini leo hii sijui kama wapo na huu mfumo wa kuanza kutenga mapori tengefu ufutwe maana naona ndiyo chanzo cha migogoro na kupunguza aridhi kijanjajanja na kuwapa wawekezaji
 
Arusha -Arusha
-Babati
-Monduli
-Kiteto
-Mbulu
Dodoma-Dodoma
-Mpwapwa
-Kondoa
Kilimanjaro- Moshi
-Same
-Rombo
Tanga. -Tanga
-Korogwe
-Lushoto
-Pangani
-Handeni
Mara. -Musoma
-Tarime
-Serengeti
Mwanza. -Mwanza
-Ukerewe
-Geita
.. -Kwimba
-Magu
Shiyanga. -Shinyanga
-Kahama
-Maswa
Singida. -Singida
-Manyoni
-Iramba
Morogoro. -Morogoro
-Ifakara
-Mahenge
-Ulanga
Pwani. -Dar -Es-Salaam
-Bagamoyo
-Rufiji
-Kisarawe
Mtwara. -Mtwara
-Lindi
-Nachingwea
-Masasi
Ruvuma. -Songea
-Mbinga
-Tunduru
Mbeya. -Mbeya
-Rungwe
-Mbozi
Ziwa Magharibi
-Bukoba
-Ngara
-Karagwe
Kigoma. -Kasulu
-Kibondo
-Kigoma
Tabora. -Tabora
-Nzega
-Urambo
-Mpanda
Iringa. -Iringa
-Mufindi
-Njombe
-Makete
Zanzibar. - Unguja Kaskazini
-Unguja Kusini
-Unguja Magharibi
Pemba. -Wete
-Chakechake
Kinachonikumbisha enzi hizo tuliishi kwa raha sana aridhi ndiyo
hii iliyopo wafugaji na wakulima walikuwapo na hapakuwa na vurugu kama za leo hifadhi za wanyama zilikuwapo na zilikuwa zinaeleweka lakini siku za karibuni umezuka mtindo wa mapori tengefu nadhani kwa namna moja au nyingine ndiyo yamekuja kupunguza ardhi iliyokuwa ni matumizi ya wananchi
 
Arusha -Arusha
-Babati
-Monduli
-Kiteto
-Mbulu
Dodoma-Dodoma
-Mpwapwa
-Kondoa
Kilimanjaro- Moshi
-Same
-Rombo
Tanga. -Tanga
-Korogwe
-Lushoto
-Pangani
-Handeni
Mara. -Musoma
-Tarime
-Serengeti
Mwanza. -Mwanza
-Ukerewe
-Geita
.. -Kwimba
-Magu
Shiyanga. -Shinyanga
-Kahama
-Maswa
Singida. -Singida
-Manyoni
-Iramba
Morogoro. -Morogoro
-Ifakara
-Mahenge
-Ulanga
Pwani. -Dar -Es-Salaam
-Bagamoyo
-Rufiji
-Kisarawe
Mtwara. -Mtwara
-Lindi
-Nachingwea
-Masasi
Ruvuma. -Songea
-Mbinga
-Tunduru
Mbeya. -Mbeya
-Rungwe
-Mbozi
Ziwa Magharibi
-Bukoba
-Ngara
-Karagwe
Kigoma. -Kasulu
-Kibondo
-Kigoma
Tabora. -Tabora
-Nzega
-Urambo
-Mpanda
Iringa. -Iringa
-Mufindi
-Njombe
-Makete
Zanzibar. - Unguja Kaskazini
-Unguja Kusini
-Unguja Magharibi
Pemba. -Wete
 
Back
Top Bottom