Kama ww ni kizazi cha Supra hii haikuhusu kabisa. Late 80's hadi Early 90's Mzee Jangala na kundi lake wakiwemo Mzee Kagunga ktk michezo ya redio RTD ikidhaminiwa na Pombe Ya Kibuku. Long tym sana sana
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mshamu alikuwa noma sana. Alishawahi kumkaba baba yake akampora mshahara akishirikiana na wakora wenzake