johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Unaweza kuwa na nia njema, lakini ili kupima akili za watu angalia comment ya kwanza baada ya kuanzisha Uzi.Kama Chadema mmeanzisha utaratibu wa kuchanga fedha kwa ajili ya matibabu ya mwenyekiti tunaomba account number tuweze kumchangia mwamba.
Siasa siyo uadui.
Nawatakia asubuhi njema.
Maendeleo hayana vyama!
Wewe hujalewa?mnahangaika na huyo mlevi wa gongo!
Mlevi wa gongo baba ako.mnahangaika na huyo mlevi wa gongo!
Kiuchumi ameyumba mkuu. Mbowe kunywa faru john (Konyagi) ni dalili za kuyumba kiuchumi. Enzi zake Mbowe alikuwa akigida vjnzano, john walker nkMlivyomharibia vitega uchumi vyake, mlitegemea atayumba kiuchumi, nyie watu mna roho mbaya sana
Duh, why comment ya kwanza?Unaweza kuwa na nia njema, lakini ili kupima akili za watu angalia comment ya kwanza baada ya kuanzisha Uzi.
Kwani sio pombe?mnahangaika na huyo mlevi wa gongo!
Wameteuliwa lusinde,msukuma,lijuakali,ndugai ndio wakusanyaji michangoKama Chadema mmeanzisha utaratibu wa kuchanga fedha kwa ajili ya matibabu ya mwenyekiti tunaomba account number tuweze kumchangia mwamba.
Siasa siyo uadui.
Nawatakia asubuhi njema.
Maendeleo hayana vyama!