Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
Mie sisalimiwi eeh?.....Afu mbona umesalimia wakaka/wababa/wababu peke yao?......sheria za jf si zinakataza ubaguzi wa kijinsia?.....haya upesi nisalimie kabla sijareport abuse!.
Mambo .....mie navutiwa na wewe tu !
Mi napenda zaidi madenti wabichi wa kidato cha kwanza na cha pili
Yaani hapa nakuwaza mpaka kichwa chauma....
Heheheheh sema basi unavutiwa na mimi!
Kuna PCM niliziwekaga hapo juu ya kabati chumbani.....kazichukue umeze kichwa kitatulia!
Hehehehe
Futa hii quote kabla nanihii hajasoma lol
Wewew sasa naona unataka nipewe talaka !
Bora upewe tu mwenzangu nipeleke sadaka ya shukrani.....:A S-heart-2:
Hahahahaha ngastuka......nia yako sio njema kwangu lol.... :shut-mouth:
:tape2::tape2::tape2:
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Mimi sina ubaguzi mwanifurahisha wote wana chitchat wenzangu. Utadhani nawajua wote, kila mmoja humpa taswira ya sura na umbo lake!! Natoa shukrani za dhati kwa mwanzilishi/waanzilishi wa JF hasa Chit-Chat. Nawapenda wote.