Miss chaga mpenda makwenje...hulainiki mpaka uone misimbazinaomba uendelee na utafiti uniletee wenye pesa .. nashukuru
Nitakuwepo baadaye:
Sawa mdogo wangu nami pia nampa hongera zake. [emoji122] [emoji122]Hahaa,huyo Ontario huwa anajitahidi kututetea tukianza kusimangwa humu..nampa sifa zake tu wengine wajitahidi kumuiga lol.
Haha tunashukuru kuwa aliwahi kurudiwewe ndo ulipotea nikajua unhudumia ndoa!tulibaki wa4 espy,nalendwa,HS,na mm! jana nashukuru mume kawahi kurudi!karud 8 kasoro!nikawa na aman na furaha tele nikalala!
Unamjua!Okay usizubae sasa!! Golden chance never come twice ujue.. Ukute ana nyota shauri yako
Mahondaw wa Smart911
Nimekumiss dear..Hope uko poa