Noti mpya tz
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 974
- 245
Tangu ameongea hadharani kuhusu Lowassa amekuwa akifuatwa fuatwa na kuzushiwa vitu vya uongo katika bunge linaloendelea la katiba mpya. Tulisikia amepekuliwa Kuwa ameiba simu badae tukasikia iPad na kisha tukasikia ameliendeleza posho Kubwa yote amekanusha na mengine ofisi ya bunge imeyakanusha.
Swali ni hili, Nani Yuko Nyuma ya mpango huu?
Swali ni hili, Nani Yuko Nyuma ya mpango huu?