Noti mpya tz
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 974
- 245
Tangu ameongea hadharani kuhusu Lowassa amekuwa akifuatwa fuatwa na kuzushiwa vitu vya uongo katika bunge linaloendelea la katiba mpya. Tulisikia amepekuliwa Kuwa ameiba simu badae tukasikia iPad na kisha tukasikia ameliendeleza posho Kubwa yote amekanusha na mengine ofisi ya bunge imeyakanusha.
Swali ni hili, Nani Yuko Nyuma ya mpango huu?

Mhhhhhhh!Ipad aliipiga kingunge wanamzushia kijana wa watu!
Tangu ameongea hadharani kuhusu Lowassa amekuwa akifuatwa fuatwa na kuzushiwa vitu vya uongo katika bunge linaloendelea la katiba mpya. Tulisikia amepekuliwa Kuwa ameiba simu badae tukasikia iPad na kisha tukasikia ameliendeleza posho Kubwa yote amekanusha na mengine ofisi ya bunge imeyakanusha.
Swali ni hili, Nani Yuko Nyuma ya mpango huu?
Mkuu anajichafua Mwenyewe, anapoiba simu na ipad anategemea nini?Tangu ameongea hadharani kuhusu Lowassa amekuwa akifuatwa fuatwa na kuzushiwa vitu vya uongo katika bunge linaloendelea la katiba mpya. Tulisikia amepekuliwa Kuwa ameiba simu badae tukasikia iPad na kisha tukasikia ameliendeleza posho Kubwa yote amekanusha na mengine ofisi ya bunge imeyakanusha.
Swali ni hili, Nani Yuko Nyuma ya mpango huu?
Tangu ameongea hadharani kuhusu Lowassa amekuwa akifuatwa fuatwa na kuzushiwa vitu vya uongo katika bunge linaloendelea la katiba mpya. Tulisikia amepekuliwa Kuwa ameiba simu badae tukasikia iPad na kisha tukasikia ameliendeleza posho Kubwa yote amekanusha na mengine ofisi ya bunge imeyakanusha.
Swali ni hili, Nani Yuko Nyuma ya mpango huu?
Hebu dadavua kidogo mkuu.Kwani nani alikuwa nyuma ya mpango wa kumpa uteuzi kuingia kwenye bunge. Every action has equal and opposite reaction. ..
Atulie tu atengenezwe...
Hebu dadavua kidogo mkuu.
Inabidi tu nijifanye kama vile nimeelewa.Kama binadamu unakubali kuwa punda wa kubebeshwa mizigo ya watu, basi kubali kwamba punda huchapwa viboko. ..