Tangu ameongea hadharani kuhusu Lowassa amekuwa akifuatwa fuatwa na kuzushiwa vitu vya uongo katika bunge linaloendelea la katiba mpya. Tulisikia amepekuliwa Kuwa ameiba simu badae tukasikia iPad na kisha tukasikia ameliendeleza posho Kubwa yote amekanusha na mengine ofisi ya bunge imeyakanusha.
Swali ni hili, Nani Yuko Nyuma ya mpango huu?
tangu ameongea hadharani kuhusu lowassa amekuwa akifuatwa fuatwa na kuzushiwa vitu vya uongo katika bunge linaloendelea la katiba mpya. Tulisikia amepekuliwa kuwa ameiba simu badae tukasikia ipad na kisha tukasikia ameliendeleza posho kubwa yote amekanusha na mengine ofisi ya bunge imeyakanusha.
Swali ni hili, nani yuko nyuma ya mpango huu?
Mwizi huwa hachafuliwi,matendo yake yatosha.
Atachafuliwaje tena kwani yeye ni msafi?Tangu ameongea hadharani kuhusu Lowassa amekuwa akifuatwa fuatwa na kuzushiwa vitu vya uongo katika bunge linaloendelea la katiba mpya. Tulisikia amepekuliwa Kuwa ameiba simu badae tukasikia iPad na kisha tukasikia ameliendeleza posho Kubwa yote amekanusha na mengine ofisi ya bunge imeyakanusha. Swali ni hili, Nani Yuko Nyuma ya mpango huu?
Ipad aliipiga kingunge wanamzushia kijana wa watu!
Makonda msimtetee.ni mwizi.tangu primary.
Makonda msimtetee.ni mwizi.tangu primary.
chezea raisi wa 2015 wewe!!!