Bigbootylover JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 2,847 Reaction score 1,828 Mar 28, 2016 #1 Nataka details za huyu Rapper, napenda anavyorap kama hana njaa, mikogo mingi, n. k, hivyo kama kuna mdau ana details zake anijuze tafadhali
Nataka details za huyu Rapper, napenda anavyorap kama hana njaa, mikogo mingi, n. k, hivyo kama kuna mdau ana details zake anijuze tafadhali
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,857 Reaction score 15,866 Mar 28, 2016 #2 Jwani ana wimbo mwingine zaidi ya ule aliomshirikisha Bluu?
Bigbootylover JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 2,847 Reaction score 1,828 Mar 28, 2016 Thread starter #3 screpa said: kwani anawimbo mwingine zaidi ya ule aliomshirikisha Bluu? Click to expand... Nahisi japo sina uhakika, ila jamaa anaweza
screpa said: kwani anawimbo mwingine zaidi ya ule aliomshirikisha Bluu? Click to expand... Nahisi japo sina uhakika, ila jamaa anaweza
Muuza Sura JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 1,985 Reaction score 1,352 Apr 1, 2016 #4 Sijui kama kabahatisha ila katika ngoma draw katisha sana kwa mitambao