Nani anamjua huyu msichana?

Maarshallah!

Ujue kuna vitu vidogo vidogo kama hivi vinathibitisha uwepo wa Mungu. Dah! mtoto hatari huyu kama ni gari basi hili ni Mercedes AMG.
 
Mwache Mungu aitwe Mungu kwa uzuri kapewa hilo halipingiki. Ingekuwa kwenye uchaguzi atapita kama walivyopita serikali za mitaa bila kupingwa...
 
Mbona kama sio Mbongo. Ingiza picha google wanaweza kukuletea majibu.

#Bagwell
 
Mwache Mungu aitwe Mungu kwa uzuri kapewa hilo halipingiki. Ingekuwa kwenye uchaguzi atapita kama walivyopita serikali za mitaa bila kupingwa...
Noma sana wakati mwingine unajiuliza hupati jibu. Kama ni sayari katika ulimwengu basi huyu ni Nibiru pasi na shaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…