Nani anamjua kocha wa taifa stars?

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
4,824
Reaction score
5,587
Samahani naomba kuuliza kocha wa taifa stars ni nani bado ni Yule Boniface mkwasa au kuna mpya?
 
mkwasa yupo yanga kama katibu..stars sasa haina head coach!
 
Salum mayanja alikuwa kocha wa prison na mtibwa suger
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…