Nani anamtumia Luhaga Mpina? Ni Seif Ali Seif wa Superdoll?

Watanzania tunawaambia haya ili muwe makini mkiona kila mbunge anasimama na kupinga kuanzishwa kwa sheria ya kutaka NRFA kununua na kusambaza sukari basi kaeni mkijua ni miongozi mwa waliowekwa mfukoni na Super Doll na kiranja wao ni Mpina.
Enzi za magu akuna aliyekuwa msafi wote walikuwa wanafiki from top to down
 
Kabisa Chama cha Mafisadi kiangamie Tanganyika ipate UHURU ilioupoteza.
Leo nimecheka sana bunge letu Leo wameona waishauri serikali namna ya kuinua uchumi Yaani Leo tarehe 19/06/2024 na wamekaa pale wanakula posho tuu,Leo ndio wamejua kuwa Kuna kilimo Cha umwagiliaji na Kuna mazao ya kukuza uchumi kama vile mchele,nk Sasa najiuliza huko wanakotoka wamejaribu hata kitu gani tukaona Sasa serikali wanayoishauri sijui ndio wanataka rais aingie shamba ,ila mambo yakikaribia utaona wanaanza kuchonga Barbara na kumwaga morum nakutoa mikopo ya 10%
 
Wamekalia upigaji na kumsifusimu Mwenyekiti wao.
 

WATANZANIA NDO WAMEMTUMA. MIMI AKINA NANII WALINIITA PIA NIANDIKE BANDIKO KAMA LAKO SABABU NINA AKILI NIKAKATAA. LUHAGA MPINA KAWEKA FACTS
 
Mambo mengi huwa tunayajadili humu JF yenye ushahidi na yasiyo na ushahidi na huwa tuna comment kwa uhuru, wewe kama unaona hii thread ni ya uongo weka ukweli tuone.

Mpina mwenyewe ni masalia ya Sukuma Gang.
Nilijuwa toka mwanzo ulipoandika nilichojibu mimi, kwamba ni mstari huo wa "...gang" ndio umebeba kila kitu ndani ya akili yako.
Kwa hiyo nimejiridhisha na nilichotegemea kinaziba akili yako ni nini.

Narrow mindedness.

Hakuna aliyezuia uhuru wako wa kujadili chochote; kama wewe usivyoweza kuzuia wanaokusoma kukuweka kwenye mwelekeo unaoonekana unakufaa.

Bila shaka utanielewa.
 
WATANZANIA NDO WAMEMTUMA. MIMI AKINA NANII WALINIITA PIA NIANDIKE BANDIKO KAMA LAKO SABABU NINA AKILI NIKAKATAA. LUHAGA MPINA KAWEKA FACTS
Ungekuwa una akili usingeandika kwa capital letters. Wewe ni mburura tu
 
Kunywa maji ndugu
 
Enzi za majungu, siasa za maji taka badala ya kutumia akili hizo kukuza uchumi ni saratani ambayo mwisho wake ni futi sita ardhini. Kama taifa tunahitaji sana kukua na kutokomeza kabisa umasikini wa watu wetu. Ifike siku ambayo "katiba' yetu itajikita katika njia ya namna hiyo na kutulinda dhidi ya pamoja na mengine, upotoshwaji, propaganda uchwara na ... siasa za maji taka, mdundiko na uswahili.
 
Sazingine uongo unahitaji gazeti kama hili kwaajili ya justification.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…