Nani anamuelewa Dkt. Wilbroad Slaa na kauli zake zinazobadilika?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
1. Dk Slaa: Ubalozi utabaki historia, nitaendelea kusema -2024

2. Rais Magufuli afanya mazungumzo na Dk Slaa Ikulu- Asema Magufuli ni Jembe, aipongeza ccm kwa kuongoza nchi vizuri - 2017

3. Chadema ni chama cha Magaidi- wanahusika na kuteka - 2018

4. Chadema ndio chama Bora kipeni kura -2024

Nani anmuwelewa huyu mwanasiasa?
 
ameshakula tende yenye harua!
 
Bendera ikipandishwa inapepea kwa kufuata mwelekeo wa upepo.
 
Unatakiwa kuweka muktadha mzima, sio kunukuu mstari mmoja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…