Nani anamuelewa huyu mchambuzi Privaldinho?

Nafuatilia mada ila mpaka sasa sijaona kuwekwa wazi hicho anachokosea Priva ni kipi?

Hii thd inaweza kutumika kumjenga zaidi kuliko kumkatisha tamaa,ni vizuri yakawekwa hapa hayo mapungufu yake kisha akapata ushauri jinsi ya kudeal na hayo mapungufu,

Huyu ni kijana mdogo na ninaamini anayo nafasi ya kujifunza zaidi.
 
Binafs hua naskiliza Sana sports extra Lakin
Huyu jamaa hapa walibug Kwanza hua
Anaparamia Sana mada yani hawez ngoja
Akapewa nafac yeye anaweza kukata
Ukiongea yeye aongee
 
Anaboa sana halafu anadakia kila mada, anataka aonge yeye muda wote
Mm naona hapo ndo anapokosea
Bora amri kiemba yeye unaona hua
Anasubir mpaka apatiwe nafac na ndo
Anaongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…