Nani anamuelewa huyu msanii Grand P?

Kuna uzi uliletwa na Kasomi umemuelezea vyema Historia yake yote.
 
Ni Grand P siyo Gran P.

Soma zaidi
Mfahamu Grand P, Msanii mwenye mvuto wa aina yake
 
Mwanaume shujaa Africa magharibi na kati.....

Your browser is not able to display this video.
 
Kuna video niliiona, ilitumwa WhatsApp kajamaa kanamgegeda aseee utadhani mjusi kalala juu ya gogo, sijui hii couple ipo kwa ajili gani [emoji23][emoji23]
Huo mzigo wake mi mwenyewe nisingeuweza umejaa vile ,huyo dogo amejitahidi
 
Tuna bahati kusikiliza hii pini kali ya mkali wao Grand P.
 

Attachments

  • grand p_144p.mp4
    1.1 MB
Hii dunia ya mwisho yale mambo ya kijinga ndio watu wanapenda mambo ya kishetani ndio hasa wanapenda ,wajinga hawakusoma ,waimbaji ,wacheza mipira ,waigizaji , watu waongo pamoja na wanasiasa uchawara ndio wanaendesha dunia .Wasomi ,watu makini na yote mazuri leo hayana nafasi tena ktk ulimwengu mambo yamekuwa vise varsa ,uongo ndio ukweli na ukweli ndio uongo.Dunia ya mwisho.
 
Nilijua ni alien kumbe ni kamtu fulani kana utajiri, mara ya Kwanza nilikaona kwenye kipindi cha Churchill show cha NTV Kenya nikashangaa sana kanavyo rapu arafu kamevaa bonge la cheni, raba, tisheti karibia inafika magotini!!!
 
Kuna video niliiona, ilitumwa WhatsApp kajamaa kanamgegeda aseee utadhani mjusi kalala juu ya gogo, sijui hii couple ipo kwa ajili gani [emoji23][emoji23]
Mmh hamna itakuwa editing make me mwenyewe mbavu ila siliwezi lile
 
Mimi sidhani kama Grand P (siyo Gran P) ana ugonjwa wa progeria kwakua mwenye progeria kuvuka miaka 18 ni ishu.

Huu ugonjwa unafanya uonekane umezeeka na pia unafanya hata viungo na organs zako ziende kwa rate hiyo hiyo ya kuzeeka. Hivyo by 18 moyo, figo, ini n.k vyote vinakua vya mtu aliyezeeka ndiyo maana inakua ngumu kuishi muda mrefu.

Ila Grand P inaripotiwa is more than twenty something na hapo ndipo naona ama hana progeria au ana progeria ila bado ni mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…