Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,201
- 17,563
Wa kiumeHuyo mlevi ni Wa kike au wakiume?
We ungejibuje?Kulewa sio siku
Kulewa ni hela
Wa kiume
Ningemuongezea bapa wa katiWe ungejibuje?
Why?Ningemuongezea bapa wa kati
Hivi unafikiri nipo hapa kukujibu maswali yako ?Why?
We unafikiriaje?Hivi unafikiri nipo hapa kukujibu maswali yako ?
Huyo aliyevaa kufuli la wamama, anataka kupiga mbizi na mocas?
Huyo aliyevaa kufuli la wamama, anataka kupiga mbizi na mocas?