Uchaguzi 2020 Nani anapaswa kumrithi Rais Magufuli?

Sidhani kama 2025 kutakuwa na mgombea mwingine,awamu ya pili ya mzee baba katiba itabadilishwa kidogo,ngoja tu aongoze kama kagame.watakuja wajinga kuharibu hizi juhudi tulizoanza nazo.kwa maana hiyo kwasasa hakuna anayefaaa,mpaka 2050 tutakuwa mbali.mungu ampe maisha marefu mh. Rais afikishe umri wa miaka 90 hivi.tena watu wenye roho ngumu huwa wanaishi miaka mingi hahahahaaa!!
 

1 Nyerere= kristo
2 Mwinyi= Muslim
3 Mkapa= kristo
4 Kikwete= Muslim
5 Magufuli= kristo
6 ?? Next Muslim, hii post siifuti na ndio itakuwa shahidi. Labda wabadilishe katiba.
 
1 Nyerere= kristo
2 Mwinyi= Muslim
3 Mkapa= kristo
4 Kikwete= Muslim
5 Magufuli= kristo
6 ?? Next Muslim, hii post siifuti na ndio itakuwa shahidi. Labda wabadilishe katiba.
Sikiliza, zama hizo zilishapita ndugu yangu. Kulikuwa nakautaratibu ka Zenj vs Bara, JK alikavunjilia mbali. Baada ya hapo sasa hivi na siku za usoni rais ataandaliwa na watu wa system, atafanyiwa vetting kwa miaka yote 10, kila anayestahili atafanyiwa vetting bila kujali kabila wala dini, anayeruka na kukizi vigezo ndiye anakuwa rais upende usipende. Wewe ka muislamu imekula kwako, sasa Tz inahitaji maendeleo hatuhitaji dini, dini ni matokeo ya mtu binafsi, hata akionekana mtu asiye na dini akapita vetting ni sawa. Kwahiyo pole sana mjahidina wa kibiti
 
Imani ya nini?


Nyerere/kristo alibana
Mwinyi/muslim aliachia
Mkapa/kristo alibana, then aliachia kiasi chake
Kikwete/muslim aliachia
Magu/kristo amebana.

Hapo ndio utajuwa wakina nani wana imani zaidi. Ni hayo tu mkuu.
 

Hahhaa imekugusa eti, huo ndo ukweli.
 
Sultani? Au yule wa kwenye tamthilia Azam
Ninaamini siyo kusudi mchokoza mada kutaka rais Magufuli awe madarakani miaka 30 au zaidi. Kwa sababu hata kama hilo linaweekana hawezi kuwepo kwa muda wote ambao Tanzania itakuwepo hapa duniani. Naamini kuwa nia yake ni kutufanya watanzania tufikirie critically ni mfumo gani uwepo ambao utatuwezesha kupata rais mwingine kama Magufuli baada yake. Naomba wale wenye kumtakia mema mama Tanzania tusaidiane kukuna vichwa vyetu tupate ufumbuzi wa mada hii. Wale wengine wanaokerwa na "udikteta" wa Magufuli nawaomba wawe waungwana wawe watazamaji na wasikilizaji tu kwa vile tunayajua tayari maoni yenu.
 
 
1 Nyerere= kristo
2 Mwinyi= Muslim
3 Mkapa= kristo
4 Kikwete= Muslim
5 Magufuli= kristo
6 ?? Next Muslim, hii post siifuti na ndio itakuwa shahidi. Labda wabadilishe katiba.
Tunataka Baniani next time Magolo ni shida tu...
 
Sioni wa kumrithi Mzee Magu ndaniya SiSiEm, wote wanatabia za wajumbe! Mzee wa Chato aendelee kukaa hapo kama M7 ili tupate maendeleo ya kweli.
 
Tunataka Baniani next time Magolo ni shida tu...

Wewe udini wa nini tena humu, umeona giza mbele ndiyo unataka kutuletea machafuko, umetumwa na mabeberu nini?! Kama mtu anapiga kazi mpaka Corona inakimbia unataka umbadirishe kwa nini, Magu komaa Mzee hatuchagui padri, shehe wala mchungaji wa kutuhubiri dini, tunataka mtu anayefanya kazi inaonekana. Naomba Mzee JPM aendelee mpaka waliotumwa na mabeberu wakimbie nchi wenyewe!

Iwapo akipatikana Mtu mwenye courage kama Mzee Baba Jiwe hata kama hana Dini, sisi kwetu muhimu ni maendeleo ya jumla yanayoonekana. Maswalaya dini kila mtu atatafuta anako abudu atakwenda huko.
 
Anampango wa kuwa Rais wa Milele.
Asiye na ukomo.

Yeyeni Alfa na Omega mwanzo na mwisho.

Kwa maana yeye ni yesu wa kangi Lugola
 
2015: Tunataka Rais mchapakazi na mkali hata akiwa mwizi poa tuuu.


2020: Tunataka Rais ambaye sio mwizi hata akiwa sio mchapakazi poa tuu.

2025: Tunataka katiba ambayo itaondoa cheo cha Rais.
 
Humphery Polepole atamrithi Magufuli amini nakwambia!
 
2015: Tunataka Rais mchapakazi na mkali hata akiwa mwizi poa tuuu.


2020: Tunataka Rais ambaye sio mwizi hata akiwa sio mchapakazi poa tuu.

2025: Tunataka katiba ambayo itaondoa cheo cha Rais.
Mh..[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji15][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…