Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kufuatia kuondoka kwa nahodha Antonio Valencia klabuni Man Utd, nani anapaswa kuwa nahodha mpya wa klabu hiyo ambayo msimu ujao itashiriki kikamilifu kwenye Ligi ya Europa.
Mwanzoni nilipenda Herrera awe nahodha mpya ila bahati mbaya nae ndio anaondoka hivyo. Je ni nani mpiganaji au mfia timu ambaye anaweza akawa kiongozi mzuri kwa wenzake?
Mwanzoni nilipenda Herrera awe nahodha mpya ila bahati mbaya nae ndio anaondoka hivyo. Je ni nani mpiganaji au mfia timu ambaye anaweza akawa kiongozi mzuri kwa wenzake?